Tafuta

Utafanyika Mkutano kuhusu uzoefu wa waamini huko Medjugorje. Utafanyika Mkutano kuhusu uzoefu wa waamini huko Medjugorje.  (AFP or licensors)

Vatican:Mkutano mbashara na waandishi wa habari kuhusu Medjugorje

Alhamisi tarehe 19 Septemba utafanyika mkutano saa 5.30, asubuhi katika Chumba cha Waandishi wa Habari cha Vatican,na hotuba za Kardinali Fernandez,Mwenyekiti wa Baraza la Kipapa la Mafundisho Tanzu ya Kanisa,Katibu wa Baraza hilio Padre Matteo na mkurugenzi wa vyombo vya habari vya Vatican,Dk,Tornielli.Utiririshaji Mbashara ni kupitia chaneli ya Youtube

Vatican News

Uzoefu wa kiroho uliofanywa na wanahija katika madhabahu ya Medjugorje, ndiyo itakuwa kiini cha Mkutano wa  Alhamisi tarehe 19 Septemba 2024 katika Chumba cha Waandishi wa Habari cha Vatican, watakaozungumza kwa waandishi pamoja na wengine ni  Kardinali Fernandez, Mwenyekiti wa Baraza la Kipapa la Mafundisho Tanzu ya Kanisa, Katibu wa Baraza hilo Padre Armando Matteo na mkurugenzi wa vyombo vya habari vya Vatican Dk. Andrea Tornielli saa 5.30 asubuhi na ambapo utiririshaji utakuwa mbashara kwenye chaneli ya Youtube: News https://www.youtube.com/c/VaticanNews.

Mkutano kuhusu uzoefu wa Medjugorje utafanyika 19 Septemba 2024

 

18 September 2024, 17:22