Makala ya "Leo kutoka Chicago"

Kurugenzi ya Uhariri ya Baraza la Kipapa la Mawasiliano inawakilisha Makala “Leo from Chicago,”mahojiano,filamu na picha ambazo zinapitia mchakato wa historia na asili ya Robert Francis Prevost katika nchi yake ya asili,Marekani.Uzalishaji ni wa waandishi Deborah Castellano Lubov,Salvatore Cernuzio na Felipe Herrera-Espaliat.

 

Asante kwa kusoma makala yetu. Unaweza kuendelea kupata habari mpya kwa kujisajili kwa jarida letu la kila siku:Just click here

 

 

11 Novemba 2025, 09:12