2025.11.30 Papa amewasili Nchini Lebanon na kufuatia hafla ya makaribisho. 2025.11.30 Papa amewasili Nchini Lebanon na kufuatia hafla ya makaribisho.  (@Vatican Media)

Papa Leo XIV amewasili Lebanon

Ndege ya ITA Airbus A320 iliyobeba Papa ilitua saa 9.34 alasiri katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Beirut-Hariri baada ya kuondoka Istanbul,Uturuki.Katika mji mkuu wa Ardhi ya Mierezi, kituo cha pili katika ziara yake ya kwanza ya kitume,Papa atafanya mikutano ya kitaasisi,ikiwa ni pamoja na hotuba kwa mamlaka.Hija itakamilika Jumanne,Desemba 2.Katika safari ya ndege,alijibu maswali kutoka kwa waandishi wa habari waliokuwa wakisafiri naye.
30 Novemba 2025, 16:09