Papa Leo XIV akaribishwa rasmi Uwanja wa Ndege Ankara

Ziara ya kwanza ya kitume ya Papa Leo XIV imeanza ambayo imepeleka,kwanza Uturuki (Türkiye) na atasimama Iznik,wakati wa maadhimisho ya miaka 1700 ya Mtaguso wa Kwanza la Nicea.Ziara yake ya pili itakuwa Lebanon,kuanzia Dominika Novemba 30.Video inaonesha kuandoka Uwanja wa Kimataifa wa Fiumicino,Roma hadi kushuka na kukaribishwa huko Ankara.
27 Novemba 2025, 11:13