Picha za ziara ya kitume ya Papa Leo XIV,Uturuki na Lebanon

Video inaonesha kuwasili kwa Papa leo XIV nchini Turkiye-Uturuki inayounganisha Mashariki na Magharibi, kwa wito wa kukuza udugu katika eneo hilo, umoja miongoni mwa Makanisa na heshima kamili kwa walio wachache. Kisha kuingia katika Nchi ya Mierezi,(Lebanon) kwa kukumbatiana kwa viongozi wa kidini kwa jina la amani, shauku ya vijana wanaopinga magumu, na sala ya kimya kimya katika bandari ya Beirut na ahadi ya kubaki nao rohoni mwake:"Hatutaachana."

02 Desemba 2025, 20:53