Jubilei ya Tasaufi ya Maria,wanahija watoa ushuhuda mjini Vatican:Maria ni Mama
Kwa tukio la Jubilei ya Tasaufi ya Mama Maria,sanamu ya asili ya Bikira MMaria,inayotunzwa katika Madhabahu ya Tokeo huko Fatima itakuwepo kwa njia za kipekee jijini Roma.Jumamosi jioni,tarehe 11 Oktoba 2025,Papa atatoa waridi la dhahabu kwa Bikira wa mji wa Ureno wakati wa kusali Rozari Takatifu kwa ajili ya Amani katika Uwanja wa Mtakatifu Petro mjini Vatican.
11 Oktoba 2025, 13:45