Askofu Mkuu Javier Herrera Corona ametuliwa kuwa Balozi wa Vatican nchini Algeria
Papa Leo XIV alimteua Jumamosi tarehe 22 Novemba 2025 alimteua Balozi wa Vatican nchini Algeria,Askofu Mkuu Javier Herrera Corona,wa Kanisa Vulturara,ambaye hadi uteuzi huo alikuwa ni Balozi wa Vatican nchini Jamhuri ya Congo na Gabon.
22 Novemba 2025, 15:04