Tafuta

Hija ya Kitume ya Papa Francisko Cyprus na Ugiriki:wakimbizi Lesbos

Jumapili tarehe 5 Desemba 2021 ametembele Kituo cha kuorodhesha wakimbizi Mytilene kisiwani Lesbos.Akiwa hapo amesikiliza ushuhuda wa wakimbizi na kuwambia waliokuwa hapo kuwa mgogoro wa kibinadamu ni wa kila mmoja.

Na Sr. Angella Rwezaula – Vatican.

Miaka mitano iliyopita yaani mnamo 2016, Papa Francisko alikwenda kisiwa cha Lesbos kujionea mwenyewe wahamiaji hapo. Kwa maana hiyo kwa mara nyingine tena Dominika tarehe 5 Desemba akiwa katika Hija yake ya Kitume Papa ameweza kuwasalimu maelfu na maelfu ya wahamiaji kwenye kambi ya Mytilene ya kisiwa hicho na akawambia kwamba yupo pale kuonana nao uso kwa uso na kuwaona macho yao. Video fupi na picha zinaonesha matukio ya ziara hiyo.

Papa akisalimiana na wakimbizi katika kambi ya Lesbos

05 December 2021, 14:48