The portal Vatican News uses technical or similar cookies to make navigation easier and guarantee the use of the services. Furthermore, technical and analysis cookies from third parties may be used. If you want to know more click here. By closing this banner you consent to the use of cookies.
Papa Leo anatarajia kukutana na vijana barubaru wa Roma katika Ukumbi wa Paolo VI,mjini Vatican siku chache baada ya kufungwa kwa Jubilei ya Matumaini.
Haitoshi kukiri fundisho la umwilisho wa Mungu kwa kuegemea tu ujumla wake,ili kuzama kwenye fumbo hili kuu,tuna haja ya kuelewa wazi kwamba Bwana alitwaa mwili wenye njaa na ...
Historia nyingi za ujasiri hazisemwi,lakini kitabu‘Living Ancestors’maana yake,“Mababu Walio hai"kinaibuka kama sauti kwa wasioonekana,wasiosikika na watawa ambao wamejitolea ...
Katika jamii tulivu za vijijini za Seke,takriban kilomita 54 kusini mashariki mwa Harare,giza limekuwa usiku mrefu kwa familia nyingi,kwa kutokuwepo kwa umeme.Siku hizi hata ...