Picha za siku ya 4 ya safari ya Papa Leo XIV kuanzia Istanbul hadi Beirut!
Mambo muhimu ya Dominika ya Papa nchini Uturuki na Lebanon,kuanzia sala katika Kanisa Kuu la Kitume la Armenia hadi Liturujia Takatifu,baraka na chakula cha mchana na Bartholomew I katika Kanisa la Kipatriaki la Mtakatifu George huko Phanar,kwenye siku kuu ya Mtakatifu Andrea Mtume.Kuaga kutoka Uwanja wa ndege wa Istanbul,kuwasili na sherehe ya kukaribishwa katika Nchi ya Mierezi na ziara za heshima katika Ikulu ya Rais,hadi hotuba kwa mamlaka.
30 Novemba 2025, 21:09
