Tafuta

Maoni ya Watengenezaji wa filamu kuhusu Papa Leo:"Rafiki wa kweli wa sanaa yetu"

Ferretti,Sandrelli,Archibugi,Cucinotta na watu wengine mashuhuri katika"sanaa ya saba" waliohudhuria Mkutano wa Papa Leo XIV,Novemba 15 walitoa maoni yao kwa hisia na umakini kuhusu mkutano wao naye.Walionesha shukrani kubwa kwa onyo la Papa kuhusu:"hatari zinazokabili sinema na kwa kutiwa moyo kwake kuwa na nguvu ya kusonga mbele kwa kurejesha wazo la uzuri,wazo la matumaini."
15 Novemba 2025, 16:12