Papa Leo XIV,Lebanon:Siku ya II,Beirut hadi Bkerké
Picha muhimu zaidi ya mikutano ya Papa mnamo Desemba 1,kuanzia sala kwenye kaburi la Mtakatifu Charbel Maklūf huko Annaya,mkutano na maaskofu kwenye Madhabahu ya Mama Yetu wa Lebanon huko Harissa,mkutano wa kiekumeni na kidini katika Uwanja wa Mashahidi huko Beirut,hadi sherehe na vijana huko Bkerké,katika uwanja wa Upatriaki wa Maronite ya Antiokia.
01 Desemba 2025, 22:30
