Tafuta

Ziara ya Kitume ya Papa Leo XIV:Dakika I ya Siku ya II,Hispania!

Picha za kipekee kutoka Vyombo vya habari Vatican zinazosimulia kuwasili na siku ya Papa Leo XIV nchini Hispania,katika siku ya pili ya Ziara yake ya nne ya kitume.

Vatican News

Kuanzia Misa Takatifu iliyoadhimishwa kwenye Uwanja wa  Cibeles mbele ya waamini zaidi ya milioni moja,kukumbatiana na watawa wa Kihispania wa Kiagostinian hadi kukutana na ulimwengu wa utamaduni katika Uwanja wa Movistar. Haya ndiyo yalikuwa  mambo muhimu ya siku ya Pili ya Papa Leo XIV huko Madrid, Hispania, kama sehemu ya Ziara yake ya nne ya kitume, ambayo pia itajumuisha huko Barcelona na Visiwa vya Kanari(kuanzia 6-12 Juni 2026).

07 Juni 2026, 21:00