Walimu wa Kanisa hadi sasa ni 37 miongoni mwao wanawake 4 pamoja na Newman wanakuwa 38!
Na Angella Rwezaula – Vatican.
Mama Kanisa Katoliki huwatangaza Watakatifu kuwa Walimu wa Kanisa na kuishi na kutangaza mafundisho yao makuu na utakatifu wa maisha, ambao waliakisi na kuelezea imani kupitia maandishi yao na michango yao ya Kitaalimungu na kimaadili. Jukumu lao ni la msingi kwa kuunda na kutetea mafundisho ya Kikristo yote na kuimarisha Majisteri za Kanisa lote Katoliki. Kwa njia hiyo wasi wa kuwa Mwalimu wa Kanisa ni utambuzi wa heshima ambao Kanisa Katoliki linawapatia watakatifu ambao walionesha uadilifu wa maisha yao, katika kazi zao, uwezo wa ajabu katika kuakisi na kuelezea imani na mafundisho, kupitia usambazaji wa maarifa au kupitia mchango wao katika tafakari ya za kitaalimungu, kifalsafa.
Kuna vigezo vitatu vya kutoa utambuzi huu: fundisho kuu, linalothibitishwa na maandishi; utakatifu wa uzima, unaotambuliwa na Kanisa kupitia utakatifu; tangazo la Papa au baraza kuu lililoitishwa kihalali. Kwa njia hiyo wadhifa huo hupewa wale ambao, mara tu mchakato wa utakatifu unapokamilika, wamejitofautisha katika maisha yao kwa mafundisho bora yanayothibitishwa na maandishi yao na ambao, kwa hivyo, wameimarisha mafundisho ya Kanisa kwa kiasi kikubwa, na katika ngazi ya kujinyima na kiroho.
Huu ni utambuzi unaotolewa tu na Papa au Baraza kuu, na hutolewa mara chache sana. Ni katika Muktadha huo ambao Jumamosi tarehe 1 Novemba 2025, Baba Mtakatifu Leo XIV anatarajia kumtangaza Mwalimu wa Kanisa, Kardinali John Newman tarehe Mosi Novemba 2025. Hadi sasa walikuwa ni Walimu wa Kanisa 37 miongoni mwake wanawake
Hii ni orodha ya Watakatifu waliotangazwa na Mama Kanisa
|
Jina la Mtakatifu/ke/me |
Mwaka wa kifo |
Wadhifa |
Lugha iliyotumi ka |
Alitangazwa Mwalimu na |
Alitangazwa lini |
Chanzo |
|
1 |
Gregori Mkuu |
604 |
Papa |
Kilatino |
Bonifacio VIII |
20.09.1295 |
CIC(L), VL Decr., l. III, t. XXII. |
|
2 |
Agostino wa Ippona |
430 |
Askofu |
Kilatino |
Bonifacio VIII |
20.09.1295 |
CIC(L), VI, Decr., l. lII, t. XXII. |
|
3 |
Ambrose wa Milano |
397 |
Askofu |
Kilatino |
Bonifacio VIII |
20.09.1295 |
CIC(L), VI, Decr., l. III,t. XXII. |
|
4 |
Girolamo |
420 |
Padre |
Kilatino |
Bonifacio VIII |
20.09.1295 |
CIC(L), VI, Decr., l. III, t. XXII. |
|
5 |
Tommaso wa Aquino |
1274 |
Padre |
Kilatino |
Pio V |
11.04.1567 |
BDP VII ( 1862), pp. 564s. |
|
6 |
Atanasio |
373 |
Askofu |
Kigiriki |
Pio V |
1568 |
BrevRom |
|
7 |
Basilio Mkuu |
379 |
Askofu |
Kigiriki |
Pio V |
1568 |
BrevRom |
|
8 |
Gregori Nazianzeno |
389 |
Askofu |
Kigiriki |
Pio V |
1568 |
BrevRom |
|
9 |
Yohane Crisostomu |
407 |
Askofu |
Kigiriki |
Pio V |
1568 |
BrevRom |
|
10 |
Bonaventura |
1274 |
Kardinali |
Kilatino |
Sisto V |
14.03.1588 |
BDP VIII (1863), pp. 1005-1012. |
|
11 |
Anselmo waAosta |
1109 |
Askofu |
Kilatino |
Clemente XI |
03.02.1720 |
Clem.XI 00, cc. 1215s. |
|
12 |
Isidori di Siviglia |
636 |
Askofu |
Kilatino |
Innocenzo XIII |
25.04.1722 |
TSR II, p. 226. |
|
13 |
Petro Crisologo |
450 |
Askofu |
Kilatino |
Benedetto XIII |
10.02.1729 |
TSR II, p. 219. |
|
14 |
Lone Magno |
461 |
Papa |
Kilatino |
Benedetto XIV |
15.10.1754 |
Ben.XIV Bull IV, pp. 98s. |
|
15 |
Pier Damiani |
l072 |
Kardinali |
Kilatino |
Leone XII |
27.09.1828 |
DACSR 2 (Rom 1898), pp. 225s. |
|
16 |
Bernard wa Chiaravalle |
l 153 |
Padre |
Pio VIII |
Latino |
20.08.1830 |
lvIBR.C 18 ( 1856), pp. 136· 138. |
|
17 |
Ilario wa Poitiers |
367 |
Askofu |
Kilatino |
Pio IX |
13.05.1851 |
ColLac 4 ( 1873), pp. 638s. |
|
18 |
Alfonsi Maria de 'Liguori |
1787 |
Askofu |
Kiitaliano |
Pio IX |
07.07.1871 |
ASS 6 (1870· 71), pp. 320· 324. |
|
19 |
Francis wa Sales |
1622 |
Askofu |
Kifaransa |
Pio IX |
16.11.1877 |
ASS 10 (1877), pp. 411-415. |
|
20 |
Cirilly wa Alessandria |
430 |
Askofu |
Kigiriki |
Leone XIII |
28.07.1882 |
ASS 15 (1882), pp. 264s. e p. 276. |
|
21 |
Cirilly wa Yerusalemu |
387 |
Askofu |
Kigiriki |
Leone XIII |
28.07.1882 |
ASS 15 (1882), pp. 265-268 e pp. 277s. |
|
22 |
Yohane Damasceno |
750 |
Padre |
Kigiriki |
Leone XIII |
19.08.1890 |
ASS 23 (1890- 91), pp. 255s. |
|
23 |
Beda Mtumishi wa Mungu |
735 |
Padre |
Kilatino |
Leone XIII |
13.11.1899 |
ASS 32 (l899- . 1900), pp. 338s. |
|
24 |
Efrem wa Siro |
373 |
Shemasi |
Kilatino |
Benedetto xv |
05.10.1920 |
M S 12 (1920), pp. 457-471. |
|
25 |
Petro Canisio |
1597 |
Padre |
Kijerumani |
Pio XI |
2 l.05.1925 |
AAS 17. (1925), pp. 349-364. |
|
26 |
Yohane wa Msalaba |
1591 |
Padre |
Kihispania |
Pio XI |
24.08.1926 |
AAS 18 (1926), pp. 379-381. |
|
27 |
Roberto Bellarmino |
1621 |
Kardinali |
Kilatino |
Pio XI |
17.09.1931 |
AAS 23 (1931), pp. 433-438. |
|
28 |
Alberto Mkuu |
1280 |
Askofu |
Kilatino |
Pio XI |
16.12.1931 |
AAS 24 (1932), pp. 5-17. |
|
29 |
Antonio wa Padua |
123 l |
Padre |
Kilatino |
Pio XI |
16.0 l.1946 |
AAS 38 (1946), pp. 200-204. |
|
30 |
Lorenzo wa Brindisi |
1619 |
Padre |
Kilatino |
Yohane XXIII |
19.03.1959 |
AAS 51 (1959), pp. 456-46 l. |
|
3 l |
Teresa wa Yesu (Avila) |
1582 |
Mtawaa |
Kihispania |
Paolo VI |
27.09.1970 |
AAS 63 (1971), pp. 185-192. |
|
32 |
Caterina wa Siena |
1380 |
Mtawa wa Tatu |
Kiitaliano |
Paulo VI |
04.10.1970 |
AAS 63 ( 1971), pp. 674-682. |
|
33 |
Teresa wa Mtoto wa Yesu wa Uso Mtakatifu (Lisieux) |
l 897 |
Mtawa |
Kifaransa |
Yohane Paulo II |
20.10.1997 |
AAS 90 ( 1998), pp. 930-944. |
|
34 |
Yohane wa Avila |
1569 |
Padre |
Kihispania |
Benedikto XVI |
07.10.20 l 2 |
OR 8.- 9. l0.2012, p. 4 [non inA.AS!]. |
|
35 |
Ildegarda wa Bingen |
l l 79 |
Mkuu wa Watawa |
Kilatino |
Benedikto XVI |
07.10.20 l 2 |
OR 8.- 9. l 0.2012, p. 5 [non in AAS!]. |
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
36
|
Gregorio wa Narek |
1003 |
Mmonaki |
Kiarmenia / Kituruki |
Francisko |
12.04.2015 |
|
|
37
|
Ireneo wa Lione |
202 |
Askofu |
Kituruki / Ufaransa |
Francisko |
20.01.2022 |
Doctor Unitatis |
|