Tuzo la "Di Donato:"nafasi ya pili kwa podcast "Specchi"
Katika shindano la uandishi wa habari lililojitolea kwa usalama mahali pa kazi,Vatican Radio – Vatican News ilishinda kutambuliwa katika sehemu ya wavuti kwa kipindi cha podicat kuhusu Jubilei ya Wafanyakazi,ambacho kinasimulia historia ya kuzaliwa upya na kujitolea kwa Manuela Praticò,ambaye mnamo 2013,baada ya jeraha kubwa, alikatwa mguu wake.
16 Desemba 2025, 12:35